Wanafunzi kaunti ya Wajir wapata afueni baada ya serikali kuwalipia ada za shule

0
3

Wanafunzi zaidi ya 4000 wa sekondari eneo la wajir mashariki wamepokea udhamini wa karo ya jumla ya shilingi millioni 16 kutoka kwa hazina ya CDF. Ufadhili huo utawasaidia wanafunzi hao kuendeleza ndoto zao kieimu. Aidha wazazi wemeitaka wametaka kuongezwa kwa mgao huo kwani wanafunzi wanaohitaji msaada ni wengi mno.

Ni majuma kadhaa sasa tangu kufunguliwa kwa shule za msingi na za sekondari nchini. Wazazi wameishi kuwa mbioni wakijaribu kuhakikisha kuwa wameweza kumalizia kiasi Cha karo shuleni kwa wanao.

Huku wengine wakipigania elimu ya watoto walio maliza kidato Cha nne ila wakakosa kupata karo itakayowasaidia kutimiza ndoto zao za kielimu…

Katika eneo la ganda kaunti ya Kilifi, wanafunzi wamepata kutabasamu baada ya serikali ya kaunti kuwapa ufadhili wa wanafunzi kujiendeleza kimasomo. Wanafunzi zaidi ya 800 sasa wamepata Hindi ya jumla ya shilingi millioni 4.8 …

Aidha,wazazi pamoja na viongozi wametaka kuongezwa kwa mgao huo kwani wanafunzi wanaohitaji msaada huo ni wengi mno…

Tukiachana na hayo katika kaunti ya wajir zaidi ya wanafunzi elfu nne wa shule za sekondari wamepokea udhamini wa karo ya jumla ya shilingi millioni 16 kutoka kwa hazina ya CDF…

Mbunge wa wajir mashariki adan ndaud amewarai walimu wakuu kutowafukuza wanafunzi kwa kukosa karo na kuwaachia wahudhurie madarasa kama wenzao…

Aidha ufadhili huo utawasaidia wazazi pamoja na wakazi wa maeneo hayo kuendelea na shughuli zao za kawaida bila matatizo…

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here