Rais Ahudhuria kongamano la umoja wa Afrika Mashariki

0
6

Rais William Ruto Anahudhuria kongamano la muungano wa Afrika mjini Addis Ababa huko Ethiopia katika kikao Cha 36 Cha muungano wa bara Afrika .

Kongamano hilo ambalo litachukua siku tatu litaangazia mbinu za kuimarisha biashara na pia
kuangazia ufadhili wa mradi ya kupambana na mabadiliko ya tabia nchi
Hali ya anga ikiendelea kuwatia wanachi wengi hofu. Takwimu za sasa zinaonyesha kuwa takribani wakenya millioni sita wako katika Hali tata huku wakitaka msaada kutoka kwa serikali

Rais ametia mikakati mbadala kuangazia swala la ukame na uchumi nchini.
Hivi Leo Rais William Ruto amewasili Jijini Addis Ababa -Ethiopia kuhudhuria kongamano la 36 la Marais
bara la Afrika ambapo Rais atajumuika na viongozi wengine kuongelea maswala ya Utendakazi katika
mataifa Yao.
Marais Hawa wataongelea maswala ya kuimarisha biashara na pia kuangazia ufadhili wa mataifa ili kuweka mradi wa kupambana na mabadiliko

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here