Wakaazi wa suba kusini wakaribisha maendeleo ya rais katika eneo bunge hilo

0
4

Wananchi wa mji wa Magunga Suba kusini wameandaa maandamano ya amani kwa kuwakashufu
viongozi wanaongiza siasa kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika eneo bunge hilo .

Wakaazi hao wanasema cheche za maneno zitahitalifiana na miradi ilioanzishwa na serikali kuu.
Siasa bila Utendakazi

Kama ilivyo desturi humu Nchini siasa imetiliwa maanani, waakazi wa mji wa huo uliyo katika eneo bunge la Suba kusini wamejitokeza kukashifu cheche za maneno ambazo Wanasiasa wa eneo Hilo wanamshutumu Mbunge wa eneo bunge la Suba kusini Carol Omondi ambaye alikuwa miongoni Mwa wale walioitikia mwito wa Rais na kutaka kutafuta maendeleo katika eneo bunge lake.
Suba kusini ni moja Kati ya maeneo yaliyowachwa nyuma kimaendeleo Huku wanachi wakimlilia Rais
kuangazia swala Hilo wakati wa hatamu yake ya uongozi huku wakimrai Mbunge wao
kufanya na Rais kazi bila pingamizi lolote.
Kwa hivyo wananchi wa Suba kusini wamesema wametupilia mbali siasa ya mdomo na kumkaribisha
Rais pamoja na Wanasiasa wengine ambao wataenda pande hiyo ili kuleta manufaa haswa Barbara
ambazo ziko katika Hali mbaya

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here