Shamba La utheri Nakuru kUrejeshiwa Wamiliki Halisi

0
0

Mzozo wa shamba la UTHERI wa LARI umekua ukiendelea Kwa takriban Miaka 30.wamiliki halali wa
shamba hili la ekari 20,000 walifurushwa mnamo mwaka wa 1992 katika ghasia za uchaguzi.

Tangu mwaka huo ,shamba hili limemilikiwa na watu wengine.Wakihojiwa na wanhabari wamiliki Walipata kusema kuwa wamekaa nje ya shamba lao wakiumia na baridi .

Kufuatia uamuzi wa Hakimu Wa mahakama ya Ngazi ya Juu Bwana Mwangi Njoroge,wamiliki halisi wameweza kurejeshewa shamba lao huku waliokuwa wakiishi pale wakitakiwa kuhama mnamo siku 30 zijazo

,shamba hili limemilikiwa na watu wengine.Wakihojiwa na wanhabari wamiliki Walipata kusema kuwa wamekaa nje ya shamba lao wakiumia na baridi

Wakuu wa usalama kaunti ya Nakuru wameagizwa kuhakikisha kuwa agizo hili zimetekelezwa
Wamiliki halisi wameonyesha kufurahishwa kwao na agizo hili la mahakama baada ya kuhangaishwa
Kwa muda mrefu

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here