wawakilishi wadi katika kaunti ya busia wamtaka gavana kuwajibika katika kugawanya fedha za CDF

0
5

Wawakilishi Wadi walisusia kikao Cha bunge katika kaunti ya Busia, kilichohusu bajeti ya ziada huku wakimtaka Gavana wa Busia bwaba Paul Otwoma kuangazia ufadhili wa pesa za elimu huku wakisema kuwa wanafunzi wachochole wamebaki vijijini bila kwenda shuleni.


Madiwani Busia Walikisusia kikao hicho huku
Wakimshutumu Gavana Otuoma Kwa kutofadhili Masomo katika kaunti hiyo ya Busia
Inasemekana kuwa Wanafunzi Maskini wanasalia vijijini kwa kukosa karo.
Idadi kubwa ya wanafunzi wanaojiunga na shule za upili imelemaza bajeti ya masomo katika kaunti nyingi .

Japo kuna wengine Bado wamesalia vijijini kwa kukosa pesa za kuwasitiri katika shule.
Hivi punde kakitka kaunti ya Busia kumetokea kizazaa Kati ya madiwani na Gavana wa Busia Paul Otwoma ambao wamemtaka Kuweka pesa zaidi katika hazina ya masomo .

gavana Paul Otwoma

Wamesema hivo wakidai wengi wa wanafunzi Maskini wamezalia makwao kwa kutopata karo ya kutosha .
Runinga ya Tandao imetazamia tishio kama hili lililoshuhudiwa Kaunti ya migori ambapo baadhi ya wazazi wameitaka serikali kuongeza pesa za CDF kwa kuwa idadi ya wanafunzi imeongezeka kutoka elfu 4 Hadi elfu 5 mia tano wanafunzi wa shule za upili idadi kubwa ya wanafunzi waliotuma ombi kupata pesa za Bazaar .
Serikali ya maeneo haya yapaswa kuandaa michakato ambayo itawanufaisha wanafunzi hao, na pia wazazi wanahimizwa kuelewa Hali ya uchumi na kujituma ipasavyo ili kuyawake maisha ya watoto wao sawa

Kimenakiliwa na Romeo Were

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here