Wanafunzi wa shule ya upili ya St. Veronica Siritanyi hivi leo asubuhi wamepata kuandaa maandamano ili kupinga uhusiano wao na mwalimu mkuu wa shule hio. Inasemekana kua wanafunzi hao wamekua na uhasama kati yao na mwalimu mkuu wa shule hio.
Wanafunzi hao wameandaa maandamano hayo kulalamikia shule hio kukosa maktaba na pia kukosa kukidhi mahitaji yao na pia kukua mzembe kwa kutekeleza na kuendeleza mambo ya shule kibinafsi.
Inasemekena kua ni kwa muda sana wanfunzi hao wamekua wakililia maktaba kutengenezwa ili kuendeleza masomo yao lakini mwalimu mkuu amekua akitilia tonge na kua malalamiko yao kufikia siko la kufa.
Baadhi ya Wanafunzi hao hapo wikendi walipata kutembelea studio zetu za Tandao ili kuendeleza taaluma yao ya uanahabari
Mwalimu mkuu wa shule hio anaitwa Faith Wairimu Kamau
St Veronica Siritanyi Secondary School – Secondary School – Education education254.co.ke › secondary-schools-kenya › st-veronica-siritanyi-secondary-school