
Kutokana na takwimu zilizo tolewa ya watuu kukosa hatimiliki ya ardhi kaunti ya Taita Taveta, imechangia kuongezeka kwa umaskini na hivyo basi kufanya wanawake wengi kujihusisha na kilimo na hawana ardhi.
Wanawake wengi wanajihusisha na kilimo na hawana ardhi.
Ni eneo la kishushe hapa undani zaidi ya kilimita mia moja kutoka mji wa voi kaunti ya taita taveta na taswira iliopo hapa ni wazi kuwa eneo hili limeadhirika pakubwa na kiangazi hali hiyo kupelekea wanawake hawa kutafuta mbinu zingine za kujiendeleza.
Hii ikiwa hatua ya kuwainua wanawake wajamii hii ambao wameadhirika pakubwa na ukosefu wa mvua kwa zaidi ya miaka miwili sasawanawake katika jamii hilo hawa paswi kumiliki ardhi.
Baraza la wazeee pia imewanyoshea kidole kwa serikali ya kaunti kwa kuhusika pakubwa katika hali mbaya eneo hilo. Asilimia ndogo ya wanawake wanamiliki ardhi.wanawake wengi wanajihusisha na kilimo na hawana ardhi.
Maafisa wa serikali kuu wakisema kuwa mpango umewekwa kuhakikisha uzalishaji wa chakula. Serikali ikihakisha kuwa wanawake mashinani kuanzisha jinsi ya kujiendeleza.
Kutokana na takwimu zilizo tolewa ya watuu kukosa hatimiliki ya ardhi kaunti ya taita taveta, imechangia kuongezeka kwa umaskini na hivyo basi kufanya wanawake wengi kujihusisha na kilimo na hawana ardhi.
Zoezi hilo lilitekelezwa katika ukumbi wa dan mwazo mjini voi kaunti ya taita tavetaambayo iliofanyika siku ya jumanne wikii hii ambapo hati 2,500 za kumiliki ardhi zilipewa wakaazi wasiokuwa na ardhi na hii itawasaidia kufanya kilimo hivyo basi kuongeza chakula .
Huku akiongoza zoezi hilo viongozi wa eneo hilo na rais na kamishna wa kaunti ya Taita Taveta Loyford Kibaara, alisema ni muhimu kwa kila mmoja kuwa na hati ya kumiliki ardhi kwa ardhi yao iliyosajiliwa.
“Tuna hatimiliki 2,500 za ardhi zinazosubiri kupewa wenyewe,” alisema kamishna huyo wa kaunti gavana wa kaunti hiyo.
Na Faith Njerwe