GMO yapingwa vikali sababu ikiwa ni tishio la ueneaji wa ugonjwa wa saratani.

0
51

Wanasayansi wameendelea kuwakosoa wanaharakati kwa kile wamesema ni kusambaza ripoti isio kuwa wa kweli wa mimea msimbo wa genetiki (GMO). Hii ni baada ya baraza la maziri  ku ondoa marufuku ya  miaka kumi kwa  matumizi ya gmo.

Hii ni baada ya siku moja baada ya mawaziri kuruhusu GMO inchini. Prof. Hamadi Boga ni mwanasayansi na pia yeye ni kati ya watuu wanaopinga swala hio, vita vya ubabe umeanza kti ya serikali , wanasyansi na wanaharakati .

Baada ya miaka kumi ya marufuku hio utafiti wakina umekuwa ukiendelezwa kuhusu GMOs.Mbinu mbadala ya kuzuia wadadu kwa mimea imezunduliwa lakini bado hazijaanza kutumiwa . Mmoja wapo ya mimea ni mahindi

Wanaopinga teknolojia hio husika wanasema kuwa teknolojia hio inayotengeneza mimea ya misimbo haiwezi kutegemewa kwa salimia mia moja . Wanatoa kwa mfano kilimo cha pamba huku wakitaja nchi ya Burkina Faso ambao wanatumia mbinu hii ya kilimo nakuwacha na masikitiko makubwa. 

Utafiti umekuwa ukifanywa kutafuta mbinu ya kutumia bio teknolojia ili kukabili madhara ya viini yanayo haribu mimea shamabani. Serikali ilitoa matumizi ya mimea ya GMO kwa madhumuni ya utoshelezaji wa chakula nchini japo inasemwa sii suluhu ya uhaba wa chakula nchini Kenya .

 ‘’Tunataka GMO Itolewe kabisaa, juu tunajua the impact of GMO na si kwa wakulima pekeetunajua madhara GMO kwa maisha ya binadamu, nikama serikali kutuonyesha na kujaribu kutuambia kwamba wanataka kutuua. Juu tumejua tukikula hii chakula ni sumu tunakula kwa mwili’’,Mwanaharakati.

Kwa mfanao nchini Bukina Faso watumia mfumo huu nakuwaacha na masikitiko makubwa . Wanaanchi wanasema kuwa hii itaongeza magonjwa nchini na kuchangia kwa saratani na Kenya bado haina hospitali za kutosha na vifaa vya kutibu wananchi na wengine kusema kukubaliana na kuhahalishwa na kusema hii itaongeza chakula nchini na watu hawataa angimia  kwa sababu ya kukosa chakula na hivyo basi kuimarisha uchumi wa kenya.

 “Kuna vitu vingi vinazoweza kusasabasha ugonjwa wa kansa na GMO c moja wapoo na kulingana na WHO na mashirika mengine yanayohusiana na chakula bora GMO si moja wapo uchunguzi umefanywa na haina madhara hata kwa wakulima’’ Wakulima .

2012 GMO ilitolewa nchini Kenya na inasemekana nchi mengi zinakubalia mimea za gmo nah ii ni wakatio wakupata chsaklu;la lamsa mahindi kwa brei nafuu na pia kujalli maslahi ya wakulima .hii itaimarisha uhusiano kati ya kenya na nchi za njee na pia itaweza kusafirisha chakula kwa nchi za nje.

Wengine wnasema kuwa GMO haina faida kwao na itolewe na kusema ni madawa ambao yataadhiri afya yao . Hii chakula imekuwa dunia nzima na imeanza kukuzwa mwaka wa 1996 na unamanufaa na wsidanganywe kuwa si ya manufaa .

 by FAITH NJERWE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here