UKAME UMEZIDI KUWA JANGA NCHINI; JE, KAMA TAIFA TUMEJIPANGAJE?

0
61

Kaunti ya Turkana ni mojawapo ya maeneo yanayokumbwa na makali ya njaa na ukame, ngozi hizi zikiwa ishara tosha mifugo wameangamia.

Turkana imekuwa ikikumbwa na ukame huku mvua ikikosa kunyesha na mifugo kukosa chakula. Kama njia ya kuokoa hali mashirika yasiyo ya kiserikali kusaidia serikali ya kaunti ya turkana kwa kusambaza vyakula vyenye mitrubishi vitakavyo pewa mifugo. 

Mkuu wa shirika la Sapcone Charles anasema kuwa kiangazi inayo shuhudiwa Turkana imeathiri afya ya watoto wengi na hivyo kuna haja ya mashirika mbambali kuingilia kati.

Kijiji cha Lamkamer Lodwar ni moja wapo ya maeneo wakaazi wamenufaika, machifu wakisaidia kupeana majina za familia zilizoathirika ili kunufaika na msaada unaotolewa.

Na Faith Njerwe

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here