OLUNGA AWAKA MOTO QATAR.

0
8

Mshambulizi wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars Michael Olunga aliweza kupachika mabao matatu wavuni na kuisaidia timu yake yadhuhilkuvuna ushindi mkubwa wa mabao 8 dhidi ya Almahia 3 katika mchuano wa kusaka ubingwa wa ligi ya manyota nchini Qatar.

Na timu kumi na nane hazitashishiriki kwenye ligi kuu ya soka nchini iwapo hazitaidhinishwa na Fifa.hii ni kwa mujibu wa mkurugenzi mtendaji wa Gor Mahia raymond oruo ambaye alizungumza kwa kuwakilisha vilabu vyote vinavyopaswa kushiriki akisema kuwa ni kupoteza wakati na raslimali kucheza  pasipo na mamlaka ya Fifa.

Na ughaibuni ni kuwa ligi kuu ya mataifa ya Bara Uropa inaendelea huku Scotland wakichuana na Ukraine. Hapo kesho itakua ni kibarua baina ya Ufaransa na taifa la Austria.

Na Brian Simiyu

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here