MSUMBIJI, MABONDIA WATATU WAIWAKILISHA KENYA.

0
5

Mabondia watatu hii leo wameiwakilisha kenya kwenye fainali ya mashindano ya ndondi ya bara afrika yanayoendelea mjini maputo, msumbiji. Jumla ya mataji 25 yatashindaniwa. Washindi wa medali ya dhahabu wataondoka na kitita cha shilingi milioni moja,huku wale wa fedha na shaba wakipata laki tano na elfu mia mbili hamsini mtawalia. Jumla ya mataji 25 yatawaniwa katika mashindano hayo.

Kikosi cha mpira wa wavu cha wanawake almaarufu malkia strikers kimekuwa na msururu wa mazoezi pamoja na mechi za kirafiki ili kujiandaa kwa mashindano ya kusaka ubingwa wa dunia yatakayoandaliwa nchini uholanzi. Hivi maajuzi wamekuwa nchini brazil na sasa wamekita kambi nchini serbia kabla ya kuelekea uholanzi kwa mashindano hayo, huku wakiwa na matumaini makubwa ya kufuzu kwenye makundi. Mercy moim ni nahodha wa kikosi hicho.

Tuvuke mipaka sasa tuangazie soka ya uingereza . Hapo jana mechi mbili zilichezwa.fulham iliandikisha ushindi wa mabao matatu dhidi ya mawili ya Nottingham forest . Nayo aston villa ilicharaza southampton bao moja dhidi.

FULHAM YATOKA NYUMA NA KUIBUKA WASHINDI DHIDI YA FOREST

Ya kapa.

Na Brian Simiyu

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here