
Wafuasi wa chama cha Ford Kenya kaunti ya Kakamega wamefurahia kuapishwa wa Nais William Ruto na ushindi wa kinara wa chama cha Ford Kenya Moses Wetangula kuchaguliwa kama Spika wa bunge la kitaifa wakisema kuwa kama jamii ya eneo hili la magharibi watanufaika katika serikali hii.
Wakizungumza wakiwa eneo bunge la butere wakiongoza na Shivachi Hamisi musa na ruth mwenesi wamehoji kuwa ushindi wa Moses Wetangula kama spika wa bunge la kitaifa ni ushindi wa jamii nzimawakimpongeza rais William Ruto kwa kutimiza ahadi yake kwa wakaazi wa eneo hili.
Nicholas Anywa ambaye ni karani katika bunge la kaunti ya kakamega amemtaka rais kutimiza ahadi alizotoa kwa wakenya wakati wa kampeni ikiwemo kuimarisha uchumi na kufufua viwanda vya miwa kwani ukulima wa miwa ni nguzo muhimu kiuchumi eneoni.
Aidha ametaja kutokua na uhuru kwa mabunge ya kaunti kama changamoto na kutaka sheria kubuniwa na kuyawezesha kujisimamia kifedha kinyume na ilivyo sasa ambapo yanasubiria mgao kutoka kwa serikali za ugatuzi
Na wafuasi wa chama cha ford kenya kaunti ya kakamega wamefurahiya kuapishwa wa rais william ruto na ushindi wa kinara wa chama cha ford kenya Moses Wetangula kuchaguliwa kama spika wa bunge la kitaifa wakisema kuwa kama jamii ya eneo hili la magharibi watanufaika katika serikali hii.

Wakizungumza wakiwa eneo bunge la Butere wakiongoza na Shivachi Hamisi Musa na Ruth Mwenesi wamehoji kuwa ushindi wa Moses Wetangula kama spika wa bunge la kitaifa ni ushindi wa jamii nzimawakimpongeza rais william ruto kwa kutimiza ahadi yake kwa wakaazi wa eneo hili.
Nicholas Anywa ambae ni karani katika bunge la kaunti ya Kakamega amemtaka rais kutimiza ahadi alizotoa kwa wakenya wakati wa kampeni ikiwemo kuimarisha uchumi na kufufua viwanda vya miwa kwani ukulima wa miwa ni nguzo muhimu kiuchumi eneoni.
Aidha ametaja kutokua na uhuru kwa mabunge ya kaunti kama changamoto na kutaka sheria kubuniwa na kuyawezesha kujisimamia kifedha kinyume na ilivyo sasa ambapo yanasubiria mgao kutoka kwa serikali za ugatuzi
Na Yusuf Manyasa