
Mkufunzi mkuu wa klabu ya AFC Leorpads Patrick Aussems amedhihirisha kuwa anataka
kuimarisha zaidi mabeki wake huku mwenzake wa Ulinzi Stars akionyesha matumaini
makubwa kwa kikosi chake.
Na tuvuke mipaka tuelekee ughaibuni ambapo Thomas Tuchel amepigwa kalamu baada ya kikosi chake kucharazwa na Dinamo Zagreb katika mechi ya kusaka ubingwa barani ulaya.
na usiku wa leo mechi kadhaa zimeratibiwa kuchezwa katika kombe la Europa. man United watasakata dimba dhidi ya real sociedad ugani Old Trafford huku Arsenal
wakichuana na Fc Zurich…..