Ligi ya mabingwa barani ulaya imeratibiwa kung’oa nanga rasmi wiki hii. Chelsea watakabana koo na Dynamo Zagreb huku Manchester city wakimenyana na Sevilla, mechi kubwa ikiwa ni Paris Saint Germain(PSG) dhidi ya Juventus. Thomas Tuchel amedhihirisha kuridhika na kikosi chake kusema kuwa watafanya vyema zaidi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here