kocha wa timu ya  arsenali Mikel Arteta anaonyesha nia na makusudi ya kuendelea kuimarisha safu yake ya mbele kwa kumsajili mshambuliaji matata Yeremi Pino wa taifa la uhispania anayeichezea timu ya Villareal .

mnamo msimu wa mwaka 2020/2021 yeremi pino alichezea villareal takriban muda wa dakika 1400 msimu uliofuata wa 2021/2022 aliendelea kuimarika na akaichezea villareal takriban dakika 2100 .

yeremi ni mchezaji mwenye bidi  , mwenye uthabiti na pia akiwa uwanjani yeye  husaidia mabeki wanaocheza wote katika kufanya ulinzi .

mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 19 amechezea villareal takriban mechi 80 na. amekua mchezeji anayeimarika kila baada kila dakika ,kila baada ya saa na kila baada ya mechi. iyo imefanya thamani yake ya uhamisho kukua juu Zaidi

Yeremi Pino

timu nyingi mabingwa katika ulingo wa michezo ya soka ulimwengu mzima imemmezea mate na kuonyesha nia ya kumsajili kiungo huyo ikiwemo Liverpool na arsenali . villareal wameonyesha kupandisha ada ya kusajili mchezaji huyo hadi thamani ya pauni millioni 60 .

hadi sasa hakuna timu ambayo imefanya mazungumzo na villareal . arsenali ndio kwa sasa wanaendelea kupanga mazungumzo ili wajaze pengo ambalo Nicholas pepe ameiacha pale emirates stadium . timu izi zikielewana yeremy pino atatangazwa kama mchezaji wa timu ya uingereza ya arsenali .

kwingineko ni kuwa kiungo wa kati wa timu ya taifa ya brazil na aliyekua mchezaji wa real madrid enrique casemiro katika mahojiano yake alionyesha furaha kubwa kujiunga na timu ya Manchester united , kwa mara nyingine tena amepata na wachezaji gwiji ambao walikua timu moja ikiwemo christiano Ronaldo na Rafael varane . alisema kuwa yuko tayari kucheza na kushinda michezo hadi mataji .

*fantastone*

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here