Mahakama yamruhusu raia wa ufaranza na aliyekua beki wa kushoto wa timu ya uingereza ya manchester city Benjamin Mendy kuendelea kuichezea timu yake

Beki huyo mwenye umri wa miaka 28 alijiunga na timu ya Manchester city mnamo mwaka wa 2017 baada ya kutoka Monaco . baada ya kumaliza mwaka mmoja , Benjamin mendy alishtakiwa kwa mara ya kwanza kwa madai ya unajisi mwaka wa 2018 .  

Kesi zake za unajisi ziliendelea kuwa mingi hadi zikafika nane na mojawapo ilikua ya kujaribu kumnajisi msichana mdogo wa umri wa miaka kumi na saba . Manchester city walimkomesha kucheza pale ethard stadium mnamo agosti mwaka wa 2021 baada ya kesi hizo kukua mingi .

Manchester city walimsajili Benjamin mendy kwa ada ya pauni millioni 52 ambayo ilikua ada kubwa Zaidi kwa defender kwa msimu huo wa 2017 . iyo bado ndio mwaka ambayo mendy aliitwa kuichezea timu yake ya taifa ya ufaranza  na baadae aliitwa na taifa lake mwaka wa 2018 kucheza katika ligi kuu ya kombe la dunia ambayo bado timu yake ya ufaranza waliibuka washindi katika fainali dhidi ya Croatia .

Benjamin mendy ni beki ambaye anaujuzi wa aina yake katika ulinzi na pia katika safu ya mbele . aliichezea timu ya taifa ya ufaranza kwa miaka miwili tangu mwaka wa 2017 hadi 2019 .

Alipojiunga na Manchester city alikua ametia mkataba wa kudumu Manchester city kwa miaka 6 na kesi  ya ubakaji ilifanya azuiliwe kucheza .

Baada ya kuskiza kesi hiyo mahaka ilikua imetoa maamuzi ya kumzuia Benjamin kutofanya sherehe yeyote katika nyumba yake . kwa sasa mahakama imetoa maamuzi mengine ya kuwa Benjamin mendy ataendelea tu kuichezea Manchester city na pia kundelea kupigaa sherehe

Fantastone Mutama

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here