
The agreement and all the official documents have been provided and Tottenham have already paid the 20 million pounds for the transfer and the player have undergone all the processes including medicals and he has been announced officially as the Tottenham player
Djed Spence is s passionate,energetic, quick ,aggressive and a very strong player .He is also a flexible player who can play to the center half by making fiery attacks by going fowad and getting backward to defend .
“i have come to Tottenham to prove myself that i can play in a very competitive team with very competitive game and with very competitive players.”
The Tottenham coach Antonio Conte believes that all this signings that he has made will make him to pause a very tuff competition in the Englsh premier league.
“i believe that my squad has experience , knowhow ,strength,and depth to conquer.”
Upto now , Tottenham have used a budget of 115M. to complete their 6 signings . They signed Richalson from Everton at 60M,Yves Bisouma from Brighton at 35M. , Frasser Foster from Southampton as a free agent ,Ivan Perisic from Intermilan as a free agent and Clement Lenglet who is on loan at Tottenham from Barcelona.
by FANTASTONE MUTAMA.
Mombasa gubernatorial elections could be hit by a delay

Mombasa gubernatorial elections could be hit by a delay, after mombasa gubernatorial aspirant on a wiper ticket Mike Sonko, filed a case at East African court of justice,
Sonko filled the case at the east african court of justice to challenge the supreme courts descision that upheld his impeachment.
Independent electoral and boundaries commision chairperson Wafula Chebukati said, if the descisions of the court are going to throw the commission completely out of balance,
then the commission shall be forced to postpone elections, for the selective posts only in mombasa county
Chebukati said the commission is guided by judgements of the court, and it is law abiding, but again if the descision makes it impossible for them to perform their functions, then the commision shall postpone election for their respective positions
During the filling of the case at the east african court of justice, Sonkos lawyer Danstone Omari, said the decision of the supreme court tends, to destroy Sonko’s political career permanently
On Monday the electoral commission through Mombasa county returning officer, Swalha Yusuf, revoked Sonko’s candidature for the Mombasa governor seat, after the supreme court rulled that ,he was leggally removed from office in December 2020
Sonko case is set for mention on Monday next week
by Millicent makokha
MASAIBU YA SONKO
Gideon kioko mbuvi, almaarufu Mike Sonko, alizaliwa Mombasa, Februari mwaka wa elfu moja kenda mia sabini na tano. Ni mwanasiasa ambaye amekuwa na panda shuka katika safari yake ya kisiasa, akifurahia ushindi kwa viwango vikubwa alipochaguliwa mbunge makadara, seneta nairobi na baadaye gavana jijini.
Sonko ameonekana kuwa mwanasiasa wa kujitegemea katika safari yake, kutokana na ufwasi mkubwa alio nao, hasa kutoka vijana. Januari mwaka wa elfu mbili kumi na nane, mashua ya sonko kisiasa ilianza kuvuja, wakati naibu wake Polycarp Igathe alipojihuzulu hata kabla ya miezi sita kukamilika afisini. Sonko akawa na wakati mgumu kumteua naibu mpya, wakati mmoja akimpendekeza gavana wa sasa wa nairobi ann kananu, na baadaye miguna miguna, hatua ambazo hazikufaulu. Kutokana na pengo katika katiba ya kenya kuhusu ni lini sonko angemchagua naibu wake, alikawia katika shughuli hiyo, urithi wake alipobanduliwa na bunge la kaunti ya nairobi na seneti mwaka wa elfu mbili na ishirini, ukiwa swala kuu, ikizingatiwa nairobi ni jimbo lenye shughuli nyingi za kitaifa na kimataifa.
Masaibu ya Sonko yanatajwa kuwa matunda ya mkwaruzano kati yake na rais kenyatta, hasa kuhusu sera na mbinu za uongozi wa jiji. Sonko alikuwa ametishia kuwanuia ugavana kama mgombea huru mwaka wa elfu mbili kumi na saba, endapo chama cha jubilee hakingemruhusu kukitumia katika mashindano hayo, japo akaibuka mshindi katika kura za mchujo, na kuwa mpeperushaji wa tiketi hiyo. Kutokana na pengo katika uongozi wa nairobi, rais uhuru aliongoza makubaliano na sonko, na mamlaka ya uongozi wa jiji, almaarufu nms, chini ya ukurugenzi wa mohamed badi, kabla ya kuapishwa kwa ann kananu kuwa gavana. Hatua hiyo iliibua uhasama, kati ya uhuru na sonko, kumbusho la msemo wa wadadisi wa siasa kuwa hakuna urafiki wala uadui wa kudumu siasani, likijitokeza.
Ujaji wa sonko kwenye kinyang’anyiri cha ugavana mombasa kulionekana kuwa hatua ya azimio la umoja kumtumia sonko, kuleta kura za nairobi na mombasa katika kapu la odinga, watangulizi wetu wakikumbukwa kwa msemo, wakosanao, ndio wapatanao. Mbinu hiyo hata hivyo, yaonekana kuhitilafiwa na dhoruba ya mahakama ya upeo, kushikilia kuwa sonko alibanduliwa kisheria.
sonko ameshikilia kuwa kubanduliwa kwake mamlakani kulikiuka sheria na katiba, hata baada ya mahakama ya upeo kutupilia mbali rufaa yake ya kupinga kutimuliwa huko. Kulingana na sonko, kubanduliwa kwake kulikuwa njama ya kisiasa, akiongeza kuwa ni makabiliano na mabwenyenye na wapinzani wake yaliyomweka pembeni uongozini, na kamwe hatayumbishwa na makabiliano hayo katika mipango yake ya uongozi na siasa.
Awali, sonko na familia yake walipigwa marufuku kutua marekani, kwa kile marekani ilihusisha na rekodi ya ufisadi wa sonko, ikiwa sababu mojawapo ya kubanduliwa kama gavana, na kutiwa mbaroni mjini voi, mwaka wa elfu mbili kumi na tisa.

Hatua ya tume ya uchaguzi kutupilia mbali cheti cha sonko kuwania ugavana jumatatu, imetajwa na sonko kuwa isiyo na maana, akisema aliwasilisha rufaa yake ya urejeleo mbele ya mahakama ya upeo na ya afrika mashariki, kabla ya iebc kutupilia mbali cheti chake cha uwaniaji.
Ingali kubainika iwapo tume ya uchaguzi itamrejesha sonko katika mbio za kumrithi gavana joho, mahakama ya haki ya afrika mashariki ikimtaka mwanasheria mkuu paul kihara kuwasilisha majibu yake kuhusiana na kesi ya sonko ,ndani ya siku arobaini na tano, au uamzi ufanywe bila kumhusisha.
Jacob macheso.