Kwa kweli chanda chema huvikwa pete na mcheza kwao hutuzwa , mchezaji wa timu ya utaifa ya Senegal na timu ya Bundesliga Bayern Munich Sadio Mane aibuka kuwa mshindi wa the 2022 African player of the year kwa mara ya pili .

Munich Sadio Mane

Katika msimu uliopita wa the 2021/2022 Sadio Mane aliifungia Liverpool mabao 16 katika ligi kuu ya uingerea epl. Alisaidia Liverpool kumaliza wa pili kwenye ligi, kushinda F.A, Capital one na baadaye kufika fainali katika mashindano ya champions league.

Mane alikua nahodha wa Senegal katika mashindano ya Afcon 2022 yaliyokuwa yameandaliwa nchini Cameroon na akaiongoza Senegal hadi finally ambapo alifunga bao la mwisho la penalty na kuiwezesha senegal kuibuka washindi  katika mchuano huo dhidi ya Egypt .

Wachezaji ambao walifuata katika mashindano hayo ni Mohamed Sala raia wa Egypt ambaye anaichezea timu ya Liverpool uingereza na pia Edward Mendy raia wa Senegal ambaye pia ni mlinda lango wa timu ya Chelsea uingereza .

Kwingineko ni kuwa kocha wa timu ya utaifa ya Senegal Aliou Cisse aliibuka kama the best coacher of the year, Pape Mata Sar mchezaji wa timu ya utaifa ya Senegal na timu ya uingereza ya Tottenham aliibuka kama the young player of the season na baadae timu nzima ya Senegal ya wanaume. FANTASTONE 


Celphine Chespol finished her race in 9 minutes 24.34 seconds!!

It was yet another disappointing moment for Kenyans at the world athletic championship in Oregon united states as her only flag bearer in the women 3000m steeplechase Celphine Chespol missed out a medal , finishing 13th in the race won by Kenyan born kazakstan Nora Jeruto .

Celphine Chespol

Celphine Chespol finished her race in 9 minutes 24.34 seconds ,missing out on another medal for kenya at the world championship in Oregon united states .

‘’Sikua najua kama nitakimbia sababu nilikua naumwa na goti . Nashukuru nilikimbia nikamaliza . Wakati nilikua na warm nilikua naona ugumu kabisa’’

Nora Jeruto of Kazakstan took gold . Beatrice Chebet , Margaret Chelimo and Gloria Kite all qualified for the 5000m finals to be held on 23rd this month .

Chebet and Chelimo finished 3rd and 4th in the 1st semi finals while Kite finished 6th in semi finals but qualified amongst the fastest loosers .

‘’Tunashukuru Mungu tushaingia finals . Tutajikaza tukiomba Mungu tuingie brackets ya medals . Sio rahisi but tutajikaza ‘’

Emmanuel Koril , Emmanuel Wanyonyi , wickliff Kinyamala and Noah Kibet also secured their place in the 3000m semi finals

‘’it is all about tactics and actually everyone was playing safe’’

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here