Tarehe kumi na nane juni 2022, wananchi wa jimbo la busia walipata fursa ya kushiriki katika bunge la mwananchi, kipindi kikujiacho kutoka runinga ya tandao, kikosi cha wanahabari wetu kikiongozwa na robert wanyonyi kikitua mpakani malaba, mji wa busia na baadaye nambale. wakaazi wa maeneo hayo walionyesha kutamaushwa kwao na uongozi wa sasa, wanaosema umeshindwa kusuluhisha changamoto wanazokumbana nazo katika kaunti hiyo ya Busia.

YouTube player

Wakaazi wa jimbo la busia vilevile, walitumia fursa hiyo kutueleza mipango yao ya uchaguzi, na jinsi watakavyopiga kura siku ishirini zijazo, kuanzia kiti cha uwakilishi wadi, hadi cha urais.

licha baadhi ya kura za maoni nchini ziku zilizopita kuashiria idadi kubwa ya wapiga kura, ambao hawajafanya maamuzi ya ni kina nani watawachagua, wagombea kadhaa hasa kwenye nafasi ya uwakilishi wa kina mama, hawajafikisha kampeni zao mashinani, ili kushiriki sera zao kwa wananchi, muda wa kampeni unapoelekea kukamilika.

wengi wa wapigakura tuliozungumza nao wamekiri kutofikiwa na wawaniaji wa uwakilishi wa kina mama, wakiwarai wajitokeze waziwazi kwa wananchi katika mikutano ya kampeni, na kutumia nafasi katika vyombo vya habari ili majina na mipango yao kwa wapiga kura iweze kubainika.

baadhi ya wapigakura hawangeweza kuficha mshtuko wao, kutokana na azma ya gavana wa sasa sospeter ojamong, kutaka kuongoza teso kaskazini kama mbunge anapokamilisha mhula wake wa pili kama gavana. wamesema kuwa gavana ojamong afaa kutosheka na muda wake mrefu katika utumishii wa umma, na ni wakati sasa wa kustaafu siasani, ili kuwapa nafasi viongozi wengine kuhudumu katika nafasi hiyo.

Iwapo uchaguzi mkuu ungefanyika hii leo, mbunge wa sasa wa Funyula, Paul Nyongesa Otuoma, anayewania ugavana kwenye tiketi ya odm angeongoza, akifwatiwa na John Sakwa Bunyasi aliye kwenye chama cha ANC. Haya ni kwa mujibu wa kura za maoni zilizoendeshwa na runinga ya Tandao, hapo jana katika kaunti ya Busia.

YouTube player

Paul Otuoma anaongoza kwa asilimia sitini na tano, akifwatwa na John Bunyasi aliyejizolea asilimia ishirini na sita. wananchi ambao bado hawajaamua ni nani awe gavana wao katika kaunti ya busia ni asilimia tisa.

kivumbi kikali kinatarajiwa kushuhudiwa katika mashindano hayo, mrengo wa azimio la umoja ukimpigia debe paul otuoma dhidi ya john bunyasi, aliye kwenye mrengo wa kenya kwanza.

by Jacob Macheso


No deal on lower unga price

The programme which would have run for a month would have seen the recommended retail price for a two-kilogram packet of maize flour fall to Ksh.100 from current highs of Ksh.210 and Ksh.52 for a kilo of sifted maize flour.

The government would have in turn compensated millers for the difference (the prevailing selling price and the new subsidized self price).

in Nairobi sold above Ksh.200 on average

According to the leaked documents, the subsidy would have been supported by an escrow account at the Central Bank of Kenya (CBK) which would have been used in compensating the millers.

Nevertheless, millers did not reach a deal with the Ministry of Agriculture late in the day, with engagements on how to bring down the cost of Unga set to continue later this week.

The government appears to be keen to lower the cost of maize flour in the country to manage the high cost of living and has previously taken steps towards this goal.

For instance, the government has allowed the importation of an estimated 540,000 metric tonnes of maize on duty-free status from outside the East Africa Community to deal with the shortfall in local maize production.

At the same time, the Ministry of Agriculture recently waived levies on all maize imports with the goal of lowering the cost of unga.

Nevertheless, the measures have so far not yielded any relief in the pricing of the staple.

On Monday for instance, a two-kilogram packet of maize flour in major supermarkets in Nairobi sold above Ksh.200 on average. by Millicent Makhoha.


UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

Karibu kwenye makala yetu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji haujakumbatiwa haswa na watu wa mjini. Katika makala haya, tunakutana na mtaalam ambaye atatujuza mengi kuhusu 

ufugaji wa kuku wa kienyeji. 

Jambo la kwanza ambalo mfugaji wa kuku yafaa azingatie ni jinsi ya kuandaa mabanda ya kufugia kuku. Je njia gani sahihi ya kutengeneza mabanda haya ? 

Ndoto ya Kila mkulima ni kuwa na kuku ambao wanaweza kupa vifaranga wengi  na wenye afya. Ili kuwa na vifaranga watakao kuwa na afya na wenye watastahili magonjwa na Hali ya anga yafaa uwaweke kwenye mazingira mazuri.

Kila mfugaji anafaa kuwa na maandalizi ya chakula yafaa mfugaji ajue ni chakula kipi Bora kwa kuku wake na muhimu zaidi ni Bora kuangazia chakula kitakacho okoa gharama Yako kama mfugaji.

Kwenye Kila bila kuna changamoto, Hali sawia kwenye ufugaji wa kuku, unaweza kukubaliana na changamoto nyingi kwenye ufugaji wa kuku .

Kama unajiandaa kuwa mfugaji wa kuku kuna faida nyingi utakazozipata kwenye safari ya ufugaji wa kuku.

Ili kuwa mfugaji Bora wa kuku, hakikisha unafuata mipangilio na ushauri kutoka kwa wakulima wenzako ili uweze kupata faida kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji.

Karibu kwenye makala yetu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji haujakumbatiwa haswa na watu wa mjini. Katika makala haya, tunakutana na mtaalam ambaye atatujuza mengi kuhusu 

ufugaji wa kuku wa kienyeji. 

Jambo la kwanza ambalo mfugaji wa kuku yafaa azingatie ni jinsi ya kuandaa mabanda ya kufugia kuku. Je njia gani sahihi ya kutengeneza mabanda haya ? 

Ndoto ya Kila mkulima ni kuwa na kuku ambao wanaweza kupa vifaranga wengi  na wenye afya. Ili kuwa na vifaranga watakao kuwa na afya na wenye watastahili magonjwa na Hali ya anga yafaa uwaweke kwenye mazingira mazuri.

Kila mfugaji anafaa kuwa na maandalizi ya chakula yafaa mfugaji ajue ni chakula kipi Bora kwa kuku wake na muhimu zaidi ni Bora kuangazia chakula kitakacho okoa gharama Yako kama mfugaji.

Kwenye Kila bila kuna changamoto, Hali sawia kwenye ufugaji wa kuku, unaweza kukubaliana na changamoto nyingi kwenye ufugaji wa kuku .

Kama unajiandaa kuwa mfugaji wa kuku kuna faida nyingi utakazozipata kwenye safari ya ufugaji wa kuku.

Ili kuwa mfugaji Bora wa kuku, hakikisha unafuata mipangilio na ushauri kutoka kwa wakulima wenzako ili uweze kupata faida kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji. Diana Eboso


Amonde has been instrumental in spearheading KCB

The 2022 national circuit marked the end of mashujaa and KCB Andrew Amonde’s stint in the sevens version of the game . Amonde has been instrumental in spearheading KCB to a podium finish at the Kakamega sevens 

He has been the longest serving shujaa captain . He took the mantle in 2012 and upto now he has served shujaa for eight years .

The Kenya Rugby Union featured him in their achievement awad after the conclusion of the 2022 national sevens circuit for his outstanding services in the seven’s version of the game .

During our interview with him he said  “playing for the local circuit has been a big thing for me ,for my team and for my team mates . I i can just encourage the young ones who are coming through the system to pres hard and continue believing in themselves “

Amongst his achievements is that Amonde led the national team to win the Singapore sevens , he captained Shujaa at the median Olympics in 2016 .

Also he participated in 2013 Rugby world cup in Russia as Kenya finished fourth , he also took part in the 2018 Rugby world cup and common wealth games .

“We are just looking at the feature , to build a good feature team and making sure that we do monitoring so that we can see them playing to a higher level of competition”

He played 358 matches scoring 64 tries for a total of 320 points , he has 528 carries , 62 clean breaks and 369 tackles .

Amonde has also represented Kenya in Rugby Africa men’s seven’s . In 2019 he received a head of state recommentation for the service he offered to the nation FANTASTONE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here